MAWANI
Member
- May 12, 2009
- 71
- 1
katika gazeti la MwanaHALISI Uk. 2 imeonesha kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa na CCM kwa serikali kutokana na kukodi ndege ya serikali kufanya kampeni yana warakini. ... kwenye hati ya madai ya tarehe 14 septemba 2010, ... imeonesha kuwa Kasma (vote) inayotawala fedha hizo ni no. 062 wakati voti hiyo haipo katika mwaka wa fedha wa 2010/2011.
Kinachonishangaza mimi Binafsi ni kwamba tuliambiwa serikali haifanyi biashara. Sasa kazi ya kukodisha ndege siyo biashara? na kwanini yasitumiwe makampuni yanayofanya biashara ya kukodisha ndege? Je Serikali yetu ina ndege nying ambazo baadhi yake hazina shughuli za kufanya na badala yake zipo kwa ajili ya kusubili kukodishwa?
This is very interesting. Halafu tunajua kuwa watu wanaobandua namba za magari na kuweka zao mara nyingi ni majambazi au polisi wa upelelezi; sasa Hiyo gari anayotumia Salma STK 6063 (T206 BJY) amapata kibari wapi? Karibuni janvini.