Yah: Matokeo ya mtihani kidato cha nne

Yah: Matokeo ya mtihani kidato cha nne

eldred carl

New Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Haya matokeo yana onyesha ni jinsi gani hii serekali yetu ilivyo poteza dira kuhusu elimu.
 
Serikali sio ya kulaumiwa watoto wetu na wadogo zetu malezi tunayo wapa hayastahili..kwann wengine wamefaulu kwan shule zao zipo mbinguni?au wanafundishwa na malaika?
 
Serikali na wizara kwa ujumala wake.kari sana jf.
 
Back
Top Bottom