Siku zote tetesi inayohusiana na mambo ya usalama wa nchi ni lazima ifanyiwe kazi haraka.hivi karibuni kumeibuka matukio ya igaidi katika maeneo mbalbali ya nchi yetu ikiwemo kilombero.na kupelekea watu kadhaa ambao baadh ni watumishi kuhusishwa na mambo hayo.akiwemohasibu wa tanesco kidatu.napenda kuujulisha uma ili wahusika wapate taarifa kuwa mkuu wa hifadhi ya udzungwa ndg. Vitalis peter uruka anahusika pia na ugaid.kwani eneo la hogadhi ya udzungwa liitwalo myandeo na msolwa ndani ya msitu ndio kombilio la magaid hao na ndipo wanapopatia mafunzo na kujificha.pamoja na kuwa na askari amekua hapeleki doria maeneo hayo ili luwalinda magaidi hao kutokana na kiasi kikubwa cha pesa alichopewa na wafazil wa magaid hao.nashauri wahusika mtume mainteljensia haraka huyu mtu awajibishwe.kwani kuna tukio baya wameplan kulifanya wkt wa kampeni.mungu ibarik tanzanoa