yah:MSAADA WA KISHERI KUPA WAKILI WA KUENDESHA KESI YA MDOGO WANGU MWANZA

yah:MSAADA WA KISHERI KUPA WAKILI WA KUENDESHA KESI YA MDOGO WANGU MWANZA

kupelwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
1,090
Reaction score
454
Napenda kuwaomba mawakili ambao wanasoma makala za kisheria katika jukwaa hili," kuwa, kuna mdogo wangu ana kesi makama ya wilaya ya bariadi ;ni kesi ya jinai; tunahitaji mapema wakili wa kusaidia kumwakilisha na kuendesha kesi hiyo , kimsingi kwa kuwa kesi hiyo ipo bariadi , wakili tunayehitaji atoke mwanza ili kumudu gharama za uendeshaji ;hivyo wasiliana nami mapema kwa namba 0715381371
 
Back
Top Bottom