YAH; OMBI LA NAULI

Jitukuu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
187
Reaction score
81
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua sasa ni kitu kimoja msaada wenu ndio muhimu sana ili niweze kufanikisha ndoa yangu wote mtapewa kadi za harusi bure!
Natumaini ombi langu litashughulikiwa.
Wenu katika kulijenga taifa
JITUKUU
 
Masaa 6 yamepita hata comment ya uchuro hamna?
Mimi naanza, nikichanga na mimi nitapata japo siku nitoke nae out?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi zitakuwa bure!?Wakati watakuwa wamesha changia kwenye nauli!Na wewe,utamu wako mwenyewe ukichangiwa watakuchanga na wewe wabongo hawa utajikuta umeshakuwa kimchepuko badala ya mwenye mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauli tu inakushinda mkuu,vipi utaweza ku-accomodate wakuu wa jf bure kwenye harusi yako ?
 
Wenzio majani ya chai tunatumia kupikia chai wewe unavuta ona sasa mazara yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapanga harusi wakati hamjawahi kutana mnachati mtandaoni tu.

Kwa kukusaidia huyo mchumba wako muombee lifti kwenye magari ya kuleta Apple kutoka South yale ya True Cape.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa 6 yamepita hata comment ya uchuro hamna?
Mimi naanza, nikichanga na mimi nitapata japo siku nitoke nae out?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante naona hii yako imefungua njia na imani hata mchango utanifanyia hivi utafungua njia kwa wengine
 
Utambulisho wa muamala 123456789.20000000 imetumwa kutoka NMB bank. 2019.8.22 Salio lako jipya ni 20000000.
 
Ata south Sana bony Kama Nigeria tuma iyo nauli ujue kwa mzungu s'io kwa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…