Yah:plot ya sbaba ufi (copper ore)

kupelwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
1,090
Reaction score
454
kwa mtu yeyote anaishi maeneo ya LUDEWA au jirani anisaidie namna ya kupata plot ya kuchimba shaba ufi(copper ore), kwa mwenye dhamira ya dhati awasiliane nami mapema kwa namba 0715381371 au 0786540637​
 
mkubwa nijuze na mimi,kumbe ludewa kuna shaba???
ukisoma historia ya miamba ilivyotambaa,miamba ya usagaran na ubena systems imekutana na kutengeneza mimba yenye kutoa chuma uf, makaa ya mawe na shaba ufi(cpper ore); kimsingi shaba ufi tanzania iliyo, nzuri inapatikana LUDEWA, MPANDA,TUNDURU,SUMBAWANGA , KARAGWE na SINGIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…