Yahaya kiboko,kumbe hata hilo jina sio lake

Yahaya kiboko,kumbe hata hilo jina sio lake

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Duh,aiseeh kweli huyu jamaa KARUBANDIKA,anakoishi hajulikani,kazi yake kupiga mizinga tuu,ukimuona jinsi anavyovaa huwez mdhania,jamaa ana fix nyingi,anajifanya anafanya kazi usalama wa taifa,kumbe karubandika wa mujini,yahaya mbaya,yaani nimechoka pale nilipokuja kujua kumbe hata hilo jina la YAHAYA siyo jina lake halis,hivi jina lake halisi unadhani ni nani???
 
Mi celewi hadi Leo, inakuaje mtu anakutangazia Ni usalama WA taifa unamkubalia fasta wakati usalama wenyewe hata ukimkamata red handed anakataa

Watu wa fix,wakina karubandira wa mujini
 
kwakweli ni ngumu kumjua hayha.
 
Back
Top Bottom