donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Nov 18, 2013 #1 Huyu jamaa naona ameamua kumjibu dada Jide baada ya kumwuliza Yahaya anaishi wapi, tukiacha mengineyo yote nahisi kama hii ngoma imetulia kiaina. Kama ulikua hujabahatika kuisikia, hii hapa. Attachments Hard_Mad_-_Naishi_geto__Hassbaby_Blog_.mp3 Hard_Mad_-_Naishi_geto__Hassbaby_Blog_.mp3 4.9 MB · Views: 592
Huyu jamaa naona ameamua kumjibu dada Jide baada ya kumwuliza Yahaya anaishi wapi, tukiacha mengineyo yote nahisi kama hii ngoma imetulia kiaina. Kama ulikua hujabahatika kuisikia, hii hapa.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Nov 18, 2013 #2 mmh alisubiri Jide atoe wimbo na yeye ndio apate mashairi
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Nov 18, 2013 Thread starter #3 Heaven on Earth said: mmh alisubiri Jide atoe wimbo na yeye ndio apate mashairi Click to expand... lakini ukiangalia kwenye mashairi yake wala hajaongea neno lolote kabisa kumdiss dada Jide
Heaven on Earth said: mmh alisubiri Jide atoe wimbo na yeye ndio apate mashairi Click to expand... lakini ukiangalia kwenye mashairi yake wala hajaongea neno lolote kabisa kumdiss dada Jide