Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Kipimo cha kwanza cha akili ni kuitambua tofauti. Sio kila jambo lazima tuambiwe cha kufanya mfano; kanisani mara nyingi hakuna anayekuamulia nguo ya kuvaa ili uingie kanisani lakini itakuwa ni ajabu ukivaa nguo ya disco ukaingia nayo kanisani.

In every reaction lazima iendane na situation ndio maana “ abnormal reaction in abnormal situation is normal behavior“ kinyume chake ni abnormal.
 
HIvi janamke la chuo linaanze kulawitiwa bila idhini yake?? Hapa nionacho ni hakupewa walichokubaliana...
Mfano mwanamke kama huyu anataka nini naye si Ana hamaaisha mambo fulani naye kuliwa 😄
Alafu wakifunuliwa rinda wanakimbilia kufungua kesi

Ova
 

Attachments

  • VID-20240614-WA0006.mp4
    1.8 MB
Mkuu naomba nikumbushe kashifa ya Kenani.
 
Sio tofauti unayoongea..huwezi kutenganisha matendo ya binadamu, anavyoishi, anavyokula, nk na imani na malezi yake kwa pamoja, imani ni dini..km huelewi uhusiano uliopo kwa mambo haya..ts very unfortunate can't tell more bt don't be a slave of your own misunderstanding!
 
Ndugu mwanasheria nenda mahakamani kamtetee huyo RC ili ashinde.
 
Mnyororo ambao hauna thamani umetengenezwa na wanaopewa dhamana, ambao huahirisha kufikiri Kwa nafsi
 
Mkuu naomba nikumbushe kashifa ya Kenani.
Huyu alicharaza watu bakora kwa madai wameiba viti ilhali vyombo vya dola na vya kisheria vyenye wajibu wa kushughulika na watuhumiwa wa uhalifu ndio vilitakiwa kudeal na hii issue sasa yeye alichokifanya ni kujichukulia sheria mkononi kuwacharaza hawa watu viboko kitu ambacho ni kinyume na sheria.
 
Mkuu naomba nikumbushe kashifa ya Kenani.
Huyu alicharaza watu bakora kwa madai wameiba viti ilhali vyombo vya dola na vya kisheria vyenye wajibu wa kushughulika na watuhumiwa wa uhalifu ndio vilitakiwa kudeal na hii issue sasa yeye alichokifanya ni kujichukulia sheria mkononi kuwacharaza hawa watu viboko kitu ambacho ni kinyume na sheria.View attachment 3017477
 
Ndugu mwanasheria nenda mahakamani kamtetee huyo RC ili ashinde.
Kuna wakati Wanawake wanatumika vibaya kuumiza Watu wengine, hili jambo lililofanyika siyo geni kwenye Jamii yetu, ingekuwa Mlalamikaji alibakwa sawa, lakini ni Mtu na Mpenzi wake, inawezekana haikuwa mara ya kwanza kwa hicho kilichofanyika.

Kuna Wanaume wengi wapo Jela kwa Kesi za kusingiziwa na Wanawake hasa pale ambapo Mwanamke hajatimiziwa kile alichotaka.
 
Na unaweza kukuta bajeti isijadaliwe kabisa kulingana na mwenendo wa heka heka za RC Yahaya utakavyokuwa

Siasa za Bongo ni za kimkakati sana 🐼

Mlale unono 😄
Hawa waheshimiwa wakishapitisha bajeti hata tukiijadili vipi huwa hakuna kinachobadilika kabisa. Tutapigwa porojo na mambo yanaisha, mwisho wanatekeleza kwa <70%. Ngoja tupige umbeya wa Yahaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…