Yahaya-Tumsime Scandal and a challenge of rehabilitating the victims of anal rape and protecting survivors in Tanzania: A Ministerial Policy Brief

Signature tu ya huyo binti kwenye hiyo barua nimegundua kwamba huu ni mchongo. Mwanafunzi wa chuo ana-sign kwa initials?
 

Kwa hiyo kesi ifutwe au iendelee?
 
Nakusaidia.

Katika za jinai mlalamikaji ni jamhuri ,, victim ni Shahid tu
Hilo nalijua na mimi nakusaidia :
Sio lazima anayefanyiwa vitendo vya jinai ashtaki.

Kuna matukio kibao mtaani ya jinai lakini watendewa wanaamua kusamehe. Nenda hata mahamama za mwanzo utashuhudia watu wakimwambia hakimu wamewasamehe wabaya wao na mahakimu wanafuta kesi
 
Ndiyo kawaida ya Mahakama.
Mtuhumiwa wa mauaji ( mara tu baada ya kupanda kizimbani) akisema,"Nimeua,kweli kabisa,nimeua",anaambiwa( na Hakimu),:"Hebu nyamaza,tafadhali,tunataka kuanza kesi sasa."
DPP kila wakati anasema,"Sitaki tena kuendelea na mashtaka"
Unataka kuonyesha kwamba "sheria ni msumeno" kumbe kila siku watu wanatekwa,wanateswa.( na vyombo vya dola.
Watu ( wananchi)hawana hela mfukoni unataka kuwaburudisha,kuwapumbaza na hizi stori za gossip.
Hizi stori za gossip kwa kweli ndiyo "opium of the people"
 
Without offence, I do not find wrongness on the type of a language used. I believe the author has a targeted audience in mind.
 
Naomba kuuliza swali maana Mimi nimechelewa kusoma sijui.
Alilawitiwa karibu na Club?mtu ambaye hajawahi kufirwa hakuwa na kurupushani zozote?mkuu anakuwaga na body guard au siku hizi wanaozunguuka wenyewe?
Amefirwa alafu afute kesi au haikuzama?
Binti inawezekana ni hooker au amefundishwa na wanachuo wenzake jinsi ya kupata pesa.Inawezekana pia ni siasa chafu za wenzake.
Ila Allah ndiyo mjuzi zaidi kuhusu jambo hili.

Kumbukeni "good things happen to good people na Bad people have a bad ending"
 
Kwa hiyo kesi ifutwe au iendelee?
Hakuna kesi hapo. Ishajifita yenyewe. Miaka 21 katoa tigo bila kulazimishwa, na baada ya tigo kuliwa alionekana mwenye furaha huku akifanya shopping.

Kama kuna kesi, basi imhusu Tumsime mwenyewe. Ashitakiwe kwa kugawa tigo.
 
Huyo Said Mtanda aliyetaka kuuficha huu uovu ashughulikiwe. Ni wazi alishurutishwa kuondoa kesi polisi tena na viongozi wakubwa akiwemo RC wa Mwanza baada ya kutumia pesa za serikali 65M kumhonga. Km siyo askari polisi kurusha hii barua kwenye mitandao isingejulikana kamwe.
 
 
GOOD ARTICLE.KAZI KWA BUNGE LETU KUIFANYIA KAZI KULINDA UTU WA MTU
 
Sasa kama ilikuwa ni scendal imetengenezwa ,basi msichana huyu inabidi akamatwe harake na kutiwa ndani kwa kutumika kumharibia maisha RC ,kifamilia ,kisocial na kitaifa.

yawezekanaje kosa kubwa la namna hii limeripotiwa police,then gafla eti sina nia ya kuendelea na case na sitaki kutumika kisiasa? nani yuko nyuma na uchafu huu.Waziri wa mambo ya ndani aagize police kufuatilia uhalifu huu.hatuwezi kufumbia macho.na kama msichana huyu alipewa hiyo 65,000,000 lazima alipe kodi kwa serikali.
 
Without offence, I do not find wrongness on the type of a language used. I believe the author has a targeted audience in mind.
Then this was not the appropriate place. The targeted audience is not available here!
And, by the way, "offence, and wrongness" (sic) are not an issue here.
 
Na inadaiwa siyo mara yake ya kwanza kutumika kumharibia mtu kazi. Mnakumbuka sakata la Simalenga akiwa DC kule Songwe? (Sijui kama bado yupo huko). Huyu dada ndiye alitumika.


Ikadaiwa mwanafunzi huyu (akiwa kwenye UMISETA) kanaswa kibao na Simalenga na jicho limepasuka. Wanaharakati wakaja juu, mwisho wa siku ikabainika siyo kweli. She Is a devil in human flesh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…