Yahaya-Tumsime Scandal and a challenge of rehabilitating the victims of anal rape and protecting survivors in Tanzania: A Ministerial Policy Brief

Ndugu kuwa mpole this is policy brief imeandikwa kitaalam na wengine duniawa hii watoe mawazo! Ni mara ya kwanza jf naona andiko la policy brief kongole mwandishi
 
Hivi kumbe ni huyu huyu dogo inakuaje doh
 


Hataki kutumika kisiasa kivipi wakati yeye ndiyo ameleta malalamiko? Mbona mlalamikaji analeta mkanganyiko?
 
Then this was not the appropriate place. The targeted audience is not available here!
And, by the way, "offence, and wrongness" (sic) are not an issue here.
I thought you are among the targeted audience since you understood the content of the article. However, JF contains everything, from academics to chit chat and hear says. For the record, this is not the first article posted in here.
 
SASA mama amon unaandika makala ndefu hivi kwa Kiingereza ili waisome mabeberu au sisi makondoo?
=
Summary:

Dr. Yahaya Ismail Nawanda, the former Simiyu Regional Commissioner, is accused of committing anal rape against Tumsime Mathias Ngemela, a 21-year-old female student from St. Mary's Mpanda Secondary School. The alleged incident occurred on June 2, 2024, inside a car at The Cask Bar & Grill in Mwanza Region. The following day, Tumsime reported the assault, and medical examinations confirmed severe anal trauma.

The incident gained media attention on June 11, 2024, with Mwananchi newspaper highlighting the case under the headline "RC adaiwa kulawiti mwanafunzi." A handwritten letter from Tumsime, dated June 6, 2024, surfaced, indicating her withdrawal of the case, allegedly under pressure and after receiving covert compensation.

President Samia removed Nawanda from office on June 11, 2024, presumably due to the scandal. Law enforcement's silence on the matter has raised concerns, emphasizing the coercive nature of the alleged assault and the need for Tumsime’s rehabilitation.

The study highlights the prevalence of anal sex and the inefficacy of existing laws to combat such crimes in Tanzania. It criticizes the legal framework for not adequately addressing sexual torture, suggesting reforms to categorize anal rape as a physical assault rather than a crime against procreative nature. The study calls for improved legislation, victim protection, evidence collection, and rehabilitation services to address sexual torture effectively.

Recommendations include disaggregating statistics by sex and age, revising rape legislation to encompass all forms of sexual assault, removing political and cultural impediments to investigations, and establishing robust victim protection protocols. The study underscores the need for immediate legislative and procedural reforms to ensure justice and protection for victims of sexual torture.

= KWA KISWAHILI=
Muhtasari:

Dr. Yahaya Ismail Nawanda, Kamishna wa zamani wa Mkoa wa Simiyu, anatuhumiwa kumlawiti Tumsime Mathias Ngemela, mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 21 kutoka Shule ya Sekondari ya St. Mary's Mpanda. Tukio hilo linadaiwa kutokea tarehe 2 Juni 2024, ndani ya gari katika The Cask Bar & Grill mkoani Mwanza. Siku iliyofuata, Tumsime aliripoti shambulio hilo, na uchunguzi wa kitabibu ulithibitisha jeraha kali la sehemu ya haja kubwa.

Tukio hili lilipata umaarufu kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Juni 2024, gazeti la Mwananchi likitoa taarifa hiyo kwa kichwa cha habari "RC adaiwa kulawiti mwanafunzi." Barua ya maandishi ya Tumsime, iliyoandikwa tarehe 6 Juni 2024, ilipatikana ikionyesha kujiondoa kwake katika kesi hiyo, ikidaiwa kuwa ni kwa shinikizo na baada ya kupokea fidia ya siri.

Rais Samia alimwondoa Nawanda madarakani tarehe 11 Juni 2024, ikidhaniwa kuwa ni kutokana na kashfa hiyo. Ukimya wa vyombo vya sheria kuhusu suala hilo umeibua wasiwasi, ukisisitiza asili ya kulazimishwa kwa shambulio hilo na haja ya Tumsime kupata matibabu.

Utafiti unasisitiza kuenea kwa tendo la kujamiiana kupitia haja kubwa na udhaifu wa sheria zilizopo kukabiliana na uhalifu huo nchini Tanzania. Unakosoa mfumo wa kisheria kwa kutokushughulikia vya kutosha mateso ya kingono, ukipendekeza marekebisho ya kuainisha ulawiti kama shambulio la kimwili badala ya uhalifu dhidi ya asili ya uzazi. Utafiti unataka sheria ziboreshwe, ulinzi wa wahanga, ukusanyaji wa ushahidi, na huduma za ukarabati ili kushughulikia mateso ya kingono kwa ufanisi.

Mapendekezo ni pamoja na kutenganisha takwimu kwa jinsia na umri, kurekebisha sheria za ubakaji kujumuisha aina zote za shambulio la kingono, kuondoa vikwazo vya kisiasa na kitamaduni kwenye uchunguzi, na kuanzisha itifaki imara za ulinzi kwa wahanga. Utafiti unasisitiza haja ya marekebisho ya haraka ya kisheria na kiutaratibu ili kuhakikisha haki na ulinzi kwa wahanga wa mateso ya kingono.
 
Ni huyu huyu. Nawanda kaonewa!
siyo huyu bali yule alikua anaitwa Florencia mjenda.
ila huyu binti wa mwanza ni michezo yake hii, kwan kipindi fulan alim-bambikizia bodaboda mmoja kesi na hukumu ilivyotoka alishindwa kesi huyu binti kule sumbawanga wakati akiwa o-level, nimesoma hukumu yote....hii ni michezo yake.
 
Hakuna kesi hapo. Ishajifita yenyewe. Miaka 21 katoa tigo bila kulazimishwa, na baada ya tigo kuliwa alionekana mwenye furaha huku akifanya shopping.

Kama kuna kesi, basi imhusu Tumsime mwenyewe. Ashitakiwe kwa kugawa tigo.

Kesi hapo kwa maana hiyo ni kwa aliekula na alieliwa... Haina kujitoa sheikh..

Ila mheshimiwa alifanya ukatili sana... Ndio maana mama kasema ma RC wajiheshimu.
 
I thought you are among the targeted audience since you understood the content of the article. However, JF contains everything, from academics to chit chat and hear says. For the record, this is not the first article posted in here.
There is a specific place for such articles in JF, not in" Jukwaa la Siasa"! Do we have to haggle on this one too? If I wanted to read such writings, I know where to go.

I have not even touched on the quality involved!
 
There is a specific place for such articles in JF, not in" Jukwaa la Siasa"! Do we have to haggle on this one too? If I wanted to read such writings, I know where to go.

I have not even touched on the quality involved!
If you you mean Great Thinker forum, that is what I meant.
It the duty of the mods to re-allocate the thread. However, I am not sure if the author has privileges to access the named forum.
 
Kinyume na maumbile ni kosa na ni kinyume na SHERIA za nchi...adhabu yake ni kifungo
 
+ dalali Mtanda must go.
 
Kinyume na maumbile ni kosa na ni kinyume na SHERIA za nchi...adhabu yake ni kifungo
Una hakika yeye ndiye aliyemuingilia kinyume cha maumbile? Vipimo vya kimaabara vimeprove kuwa shahawa ni za huyo jamaa?
Mwabamke akitaka kumkomoa nwanaume anaweza kuchukua shahawa katika kondomu kisha akaziingiza mwenyewe mkunduni na baadae kudai kuwa ni mwanaume amemuingilia. Kuna kisa niliwahi shuhudia jamaa alichukua nalaya walikubaliana malipo. Sasa asubuhi janaa akachukua waleti akawa anach.ambua ili atoe hela amlipe, yule malaya alipoona hela nyingi katika waketi akamgeuzia kibao jamaa kuwa ampe hela zaidi ya zile walizokubaliana la sivyo atapiga kelele kuwa amemuingilia kinyume na maumbile. Jamaax wa kuogopa ikabidi amkqtie hela zaidi ili kuua hilo soo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…