Yahoo log in

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Narudi tena jamvini.
Nimegundua kuwa neno la kukaribisha kwenye yahoo.Jina langu ni Kasimu Maganga na kuna wakti niki log in nakaribishwa na Hi,Kasimu na kuna wakati nakaribishwa na Hi,Maganga.
Nimeweka seal lakini baada ya muda haijitokezi tena.
je nimekuwa victim wa phishing,nisaidieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…