Mimi ni mjasiriamali nahitaji kufungua fixed account ila sijui faida yake hivyo mwenye uelewa zaidi anijuze:
pia ni benki gani yenye faida kubwa?
pato langu kwa mwezi laki 1,
Mkuu faida nzuri kwenye fixed account inategemeana na kiasi gani cha fedha unachoweka na kwa mda gani, fixed account wanafaidi wale wanaoweka mamilion na wengi hu2mia fedha za taasis, kwa upande wa viwango vya faida karibia bank zote zinalingana.
Nenda kaweke UTT au kafungue Tajirika A/c Standard Chartered Bank. Utaruhusiwa kuweka kila mara na kuchukua kwa dharura maalum.
Fixed A/c inahtaji uweke bulk cash kwa miezi kadhaa na mwisho wa siku utaruhusiwa kuchukua au kupokea interest kutokana na kiwango cha hela uliyoweka.
Mimi ni mjasiriamali nahitaji kufungua fixed account ila sijui faida yake hivyo mwenye uelewa zaidi anijuze:
pia ni benki gani yenye faida kubwa?
pato langu kwa mwezi laki 1,
Nenda NBC ufungue akaunti inaitwa Malengo, akaunti hiyi utakuwa unaweka tu kwa muda maalumu kuanzia 6 months na kuendelea. Unaruhusiwa kuweka kwa kadri unavyoweza hata kama ni asubuhi mchana na jioni sawa tu. Ila kuchukua inakuwa kwa kipindi maalumu.
Interest yake kwa sasa sifahamu ji ngapi make moe niliitumia 3 yrs ago!