Yahusu kubadilishana kituo cha kazi

Yahusu kubadilishana kituo cha kazi

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
Habari zenu ndg zangu,
naitwa Mwl. MUSA natafuta mwalimu wa kubadilishana naye eneo la kazi yeye aje ikwiriri sekondari iliyopo hamlashauri ya wilaya ya rufiji mkoa wa pwani mimi niende mwanza jiji/ ndani ya mkoa wa mwanza, idara ya sekondari. ikwiriri ni eneo ambalo halipo mbali na mkoa wa dar es salaam, nauli ni shilingi 5000 tu hadi mbagala, kuna maji na umeme pia___kama upo tayari nitafute fasta ili tuwahi vibali vywa mwezi wa sita____0763559698. asante.
 
Back
Top Bottom