Yahusu kubadilishana kituo cha kazi

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
Habari ya muda huu wana JF,
kuna mwalimu yuko TANGA JIJI anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe anatoka IRINGA MANISPAA, idara ya sekondari_______amethibitishwa kazini kama ukotayari wasiliana naye kwa namba hii 0717303093, ili muwahi vibali vya desember.



ASANTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…