yahusu kusambaza kuku kwenye mahotel na migahawa

yahusu kusambaza kuku kwenye mahotel na migahawa

Mapujds

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
1,286
Reaction score
128
Ndugu wanajamii,habarini.
Naomba mtu yoyote ambaye anaweza kunipatia tenda ya kusambazakuku wa kienyeji kwenye hotel au mgahawa anijulishe.nimemaliza chuo mwaka wa pili sasa sina kazi ya kuaminika na maisha yanaendelea kuwa magumu wana jamii wenzangu.naomba msaada sana napatikana DAR'SALAAM.aliyetayari kunisaidia au hata kunipa means ya kufanikisha hili naomba tuwasiliane kupitia namba hizi 0655222214 na 0788532827.asante
 
ndugu wanajamii,habarini.
Naomba mtu yoyote ambaye anaweza kunipatia tenda ya kusambazakuku wa kienyeji kwenye hotel au mgahawa anijulishe.nimemaliza chuo mwaka wa pili sasa sina kazi ya kuaminika na maisha yanaendelea kuwa magumu wana jamii wenzangu.naomba msaada sana napatikana dar'salaam.aliyetayari kunisaidia au hata kunipa means ya kufanikisha hili naomba tuwasiliane kupitia namba hizi 0655222214 na 0788532827.asante

mkuu hongera kwanza kwa kujiajili mwenyewe, kwa kweli ndo kinahotakiwa kwa sasa, tatizo huko vyuoni watu wanapeana matumaini yaliyo pitiliza kiwango wazungu wanasema over expetation.

1. Mimi ningekushauri uzunguke mwenyewe kwenye mahoteli, mabaa mbalimbali na hata min supermarket tafita wayeja huko, ukipata hata wawili wakuaminika wanatosha kabisa.

2. Na hakikisha kama utawapata mnasaini contarct kabisa ya kuwalinda wao na ya kukulinda wewe make makubaliano ya mdomoni yana madhara sana kuna day unaweza mpelekea akasema hahitaji, na wewe vilevile unahakikisha unawasambazia kwa wakati.

Fanya hivyo
 
Back
Top Bottom