Yahusu kutengeneza bidhaa yenye ''patent right''

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Kuna uvumbuzi mmoja wa bag la wanafunzi shuleni, bag hilo lina features tofauti kabisa na mabag yaliyopo. Bag hizo zinauzwa Marekani, nimejaribu kugoogle hiyo kampuni nimeona kwenye website kubwa kama bbc na cnn kuwa bag zao hizo zina ''patent right''

Hivyo naomba kuuliza, kama bidhaa ina patent right nchini marekani. Je, mimi niliyopo Tanzania nikitengeneza bidhaa kama hiyo hiyo naweza kushtakiwa?

asanteni
 
Tengeneza tuu hata mchina anafyatua

Au agiza China lazima watakuwa wameisha toa
Au utururuki kiboko ya fake goods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…