Mama mmoja juzi alitukuta mimi na rafiki yangu nje ya gate la kazini kwetu usiku majira ya saa mbili hivi, kwakuwa tunafahamiana kidogo tukaanza vistory.Uzi huu mfupi tuu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku?maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Sasa dea unajiajiri vipi huna mtaji? Haya ukisema uchangamkie fursa adhimu nako kugumu hatari mmmmmh. Jah asaidie tyuuh hali ni mbaya kwa kweli.Mapambano yaendelee ndio kinachotakiwa kufanyika
Fanya kazi yoyote unayoona ni halali
Kuacha kutegemea vyeti(kuajiriwa) badala yake kuanza kufikiria kujiajiri
Sasa dea unajiajiri vipi huna mtaji? Haya ukisema uchangamkie fursa adhimu nako kugumu hatari mmmmmh. Jah asaidie tyuuh hali ni mbaya kwa kweli.
Kwenye kutafuta kuupata mtaji ndo mziki wenyewe sasa.Kama huna mtaji tafuta means za kuupata
Kwenye kutafuta kuupata mtaji ndo mziki wenyewe sasa.
Ww umetumia njia gani za kupata mtaji?hayo ndio tunataka kujua utysaidie na sisi kupata mitaji
Hahahaha saivi hata mikpo hakuna, huko vicoba na saccos ni majanga tupu, wee dea acha tyuuih nje ya system hakuna maisha.1.Unatafuta sehemu mnayoaminiana unakopa
2.Fanya hata kazi ndogo ndogo yoyote utakayopata,wewe mwanaume hutakiwi kuchagua kazi
Huu ndo wakati wa kubadili mitazamo kimawazo na kukuna ubongo haswa!.. naamini jahazi haliwezi angamia Kama vichwa vyetu tutaviweka sawasawa hapo ndo utakuwa msingi..Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?