Yai gani lenye nguvu,la mwanamke au mwanaume?

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
879
je! kuna yai kati ya hayo lenye nguvu kuliko lingine.

bila yai hilo mimba haitokei...wajuzi naomba mtirilike mnipe madini.
 
Professionally, swali lako halina majibu,halipo na halieleweki
 
Natumai unaongelea mambo ya reproduction, Mwanaume hana yai, ana mbegu. Mwanamke ana yai.
Mbegu za mwanaume zinapevusha yai la mwanamke kupata zygote-->fetus-->kichanga.
 
sante kiongozi
 
Mwanaume hana yai bali ana mbegu (sperm) mwanamke ndio mwenye yai (ovum)

Yai la mwanamke linapokutana na mbegu ya mwanaume ndipo linarutubishwa. Yani sperm ina fuse na ovum kutengeneza zygote cell ambayo ndio step ya mwanzo ya prenatal development
 
Yaani hapo ni kama kuna shamba, wewe una mbegu (yai la mwanamke) na yeye/mwanaume ana mbolea.. Hapo sasa shamba lipo tayari, unareta mbegu zako na yeye analeta mbolea yake basi uzalishaji unaanza..
 
Mwanaume hana yai bali ana mbegu (sperm) mwanamke ndio mwenye yai (ovum)

Yai la mwanamke linapokutana na mbegu ya mwanaume ndipo linarutubishwa. Yani sperm ina fuse na ovum kutengeneza zygote cell ambayo ndio step ya mwanzo ya prenatal development
oooh!
 
Mwanaaume ana yai? Au wewe una yai mkuu ?
 
Back
Top Bottom