Yai la kuchemsha au kukaanga lipi chaguo lako namba moja?

Mimi napenda la kukaanga kama kwenye picha hapo cow's eye egg alafu nanyunyizia kachumvi na black pepper after doing that the whole world is mine🤗
 
Tamu ni yai la kukaaanga lakin kiafya wanasema yai la kuchemsha ndio zuri zaidi.
 
Mimi na mtoto wangu tunapenda sanaa mayai ya kukaanga.Tena usiweke mbwembwe we kaanga tu na chumvi kidoogo basi .Sio uniwekee mavitunguu yako na makorokoro mengine sili.La kuchemsha lina harufu kama kijambo sitaki hata kuliona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…