N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 4 Dec 1, 2013 #1 baada ya kuulizwa swali hili nikaona bora nilete mbele yenu ili tilijadili kwa kina mie binafsi nimeshindwa.
baada ya kuulizwa swali hili nikaona bora nilete mbele yenu ili tilijadili kwa kina mie binafsi nimeshindwa.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 1, 2013 #2 Ndio maana wachawi wanayatumia sana haya mayai, sijui mnayaitaje?? Viza au visa????
N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 4 Dec 1, 2013 Thread starter #3 Tatizo la wabongo ukiulizwa swali unauliza swali na wewe,ila ngoja nikujibu linaitwa VIZA.
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Dec 3, 2013 #4 Yai halina kitu chochote kati ya hizo...