Yajayo yanafurahisha sana tu

Mimi huwa nashangaa watu wanaotoa majibu ya ovyo, sijui huwa wanajionaje.
Hata mm mmojawapo kuna muda navurugwa ila nimeacha kuna incidence ilitokea nikasema sio kila mtu wa kumtolea maneno machafu...maana duu..
 
Hapo tunaita β€œpoint of maturity β€œ, hupaswi kumjibu mtu vibaya jamani. Kama humu hatufahamiani, umeanzisha uzi tu matusi hayo yanafuata, kejeli yaani ilimradi tu wakukosoe. Mimi naona njia sahihi ni kueleweshana tu sio kutukunana.
 
Sure dear...sema vichwa vimetofautiana
 
Hapo tunaita β€œpoint of maturity β€œ, hupaswi kumjibu mtu vibaya jamani. Kama humu hatufahamiani, umeanzisha uzi tu matusi hayo yanafuata, kejeli yaani ilimradi tu wakukosoe. Mimi naona njia sahihi ni kueleweshana tu sio kutukunana.
Humu kuna vijana ambao bado wako immaturity na wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.
Hii ndiyo sababu, ishu ya mtu kuwa mzee sio mbaya ni muda wake umefika.
 
Sijapenda πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Humu kuna vijana ambao bado wako immaturity na wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.
Hii ndiyo sababu, ishu ya mtu kuwa mzee sio mbaya ni muda wake umefika.
"""wengine wanatokea kwenye malezi mabovu.""""πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Wapoje hao..?
 
Washazoea michambo, kejeli na matusi sio watu wenye staha, sasa mtoto kalelewa manzese au tandika unategemea awe na adabu na heshima.
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Daah vijana wa hovyo...
Yajayo yanafurahisha kweli.πŸ€“πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…