Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
wadau kama mlivyosikia kuwa serikali imepata kibali kutoka NIMRI kufanya majaribio ya dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI,wakiwa na mpango wakuanza na mikoa 14 ikiwemo mkoa wa mbeya huku wakilenga makuundi maalum kama wadada wanao jiuza,wanashiriki mapenzi ya jinsia moja na watumiaji wa madawa ya kulevya.
katika maelezo yake Naibu Waziri Wizara ya afya amesema dawa hiyo inaitwa TRUVADA,nilipata na shauku ya kufanya mlinganisho nini kitakuwa kati ya faida na madhara ya hizi dawa hivyo nikaenda kwenye website yao wenyewe kujua madhara hayo.
TRUVADA (emtricitabine 200 mg and tenofovir disoproxil fumarate 300 mg) is a prescription medicine used with other HIV-1 medicines to treat HIV-1 infection in people who weigh at least 35 kg (77 pounds).
What are the other possible side effects of TRUVADA?
Serious side effects of TRUVADA may also include:
TRUVADA®: Treatment for HIV-1 | Official Website
madhara yanayopatikana katika hizi dawa ni sawa sawa na madhara yanayopatikana kwenye vidonge vinavyotumiwa na watu walio na HIV.inatupasa kuwa makini jamani

- Kidney problems, including kidney failure. Your healthcare provider may do blood tests to check your kidneys before and during treatment with TRUVADA. If you develop kidney problems, your healthcare provider may tell you to stop taking TRUVADA.
- Too much lactic acid in your blood (lactic acidosis), which is a serious but rare medical emergency that can lead to death. Tell your healthcare provider right away if you get these symptoms: weakness or being more tired than usual, unusual muscle pain, being short of breath or fast breathing, stomach pain with nausea and vomiting, cold or blue hands and feet, feel dizzy or lightheaded, or a fast or abnormal heartbeat.
- Severe liver problems, which in rare cases can lead to death. Tell your healthcare provider right away if you get these symptoms: skin or the white part of your eyes turns yellow, dark "tea-colored" urine, light-colored stools, loss of appetite for several days or longer, nausea, or stomach-area pain.
- Bone problems, including bone pain, softening, or thinning, which may lead to fractures. Your healthcare provider may do tests to check your bones.
- Changes in your immune system. If you have HIV-1 infection and start taking HIV-1 medicines, your immune system may get stronger and begin to fight infections. This may cause minor symptoms such as fever, but can also lead to serious problems. Tell your healthcare provider if you have any new symptoms after you start taking TRUVADA.