Yajue Magari ya Hybrid

Aksante
 
Shida mafundi wetu


Na upatikanaji wa betry/cell za betry
mafundi tupo, af hybrid system huwa ni ngum sana kupata shida ni mfumo ambao unaweza kudum zaidi ya 300000km bila shida yoyote. kikubwa tu uitunze na ufanye service vzr. soon nitatoa maelekezo ya namna ya kuitunza na kuifanya gari idumu zaidi. Kuhusu mafundi tupo na spea zake ninazo sema tu unataka nini au unashida gani usaidiwe. pia kuhusu betry huwa haifi yote inakufa vipisi kadhaa vya betry ambavyo tunabadilisha na gari inarud mpya.
 
Mnashauri RAV 4 ya mwaka gani ambayo ni hybrid? Japo nimeona hii

Honda Vezel Hybrid - 2016 kama ni affordable​

 
Inabidi mafundi muweke mnapopatikana.
Niliogopa kuchukua mwaka jana nikihofia wapi nitapata fundi. Nikawaza pa kupata betri ikabidi niwe mpole. Nika8shia kumshukia fundi wangu(anisamehe tu bure) kwamba dunia inabadilika badala ajifunze teknolojia.mpya atengeneze na hybrid kang'ang'ania atomatik za zamani 😁😁😁😁😁😁
 
Mkuu,

Kwa nini watu wa tax mtandao(Uber na bolt) Bado hadi Leo wanaendelea kutumia gari kama IST,spacio,Rumion naagari yenye engine ndogo ya zamani wakati Kuna hizi hybrid cars kama ToyotaAqua,Honda fit, Prius nk?

Ukiwa barabarani Bado tunaendelea kukutana na hizi IST zenye namba nyeupe kwa ajili ya Biashara badala ya kukutana na hizi gari za kisasa zenye low fuel consumption? Nini inaweza kuwa sababu?
 
Mkuu tatizo watanzania wengi hawako tayari kuadapt teknolojia mpya tena huku kwenye magari ndo kabisaaaa yani watu wanafata mkumbo, leo kuna watu ukiwaambia kuna gari zinatumia mafuta kidogo kuliko ist hamtaelewana so acha waendelee na maisha waliyozoea ila watafunguka taratibu siku wakijua faida za hybrid cars. kiukweli mi nainjoy sana na honda vezel yangu hybrid. siwazi kabis swala la mafuta maana ni cheap kwel kwel
 
Mi naoma kama alivyochangia mtoa mada, watu either waoga, hawana elimu au wanakaza mafuvu.

Maana bei ya IST unaweza pata hybrid nzuri tu kama Aqua ikafanya Uber kwa return kubwa zaidi.
 
Mi naoma kama alivyochangia mtoa mada, watu either waoga, hawana elimu au wanakaza mafuvu.

Maana bei ya IST unaweza pata hybrid nzuri tu kama Aqua ikafanya Uber kwa return kubwa zaidi.
Asee!! Inashangaza sana kuona watu wameng'ang'ania IST na vitz wakati Kuna gari nzuri kama Aqua.

Wabongo ni waiga sana wa mabadiliko.
 
Wabongo kwa asili ni waoga wa mabadiliko.
Huku kwenye gari ndiyo kabisa,ni mwendo wa kufuata mkumbo tu.
 
Naona kwenye uendeshaji wake wa GEARBOX upo kama wa CVT transmission, hauhitaji rafu za uendeshaji.
 
Naona kwenye uendeshaji wake wa GEARBOX upo kama wa CVT transmission, hauhitaji rafu za uendeshaji.
upande wa gear box zipo Cvt huku inaitwa eCvt ipo na Dct/E-Dct pia ipo AT ya kawaida so uendeshaji utategemea gearbox ipi. mfn ukiwa na dct hii unakanyaga tu mana ndo mamb yake af cvt za hybrid nyingi hazitumii chain so hazizingui kiivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…