shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,430 Reaction score 3,547 Aug 27, 2013 #21 mtu maskini unaenda cuba kufanya nini kozi yenyewe md hata bongo unaweza kusoma tumechoka kuwaonea huruma watu wanaojitafutia matatizo warudi home.
mtu maskini unaenda cuba kufanya nini kozi yenyewe md hata bongo unaweza kusoma tumechoka kuwaonea huruma watu wanaojitafutia matatizo warudi home.
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,581 Aug 27, 2013 #22 Mangi1 said: FB iko kweli huko ? siyo kama China wamezifunga? Naomba nijulishe kwa hili silijui.. Click to expand... nna mdau wangu yupo uchina anasoma,tunachat kwa facebook kila siku na kila wakat,,,pamoja na whatsap
Mangi1 said: FB iko kweli huko ? siyo kama China wamezifunga? Naomba nijulishe kwa hili silijui.. Click to expand... nna mdau wangu yupo uchina anasoma,tunachat kwa facebook kila siku na kila wakat,,,pamoja na whatsap