MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Mods wanaweza kuruhusu jina la design hiyo 'lisajiliwe' humu JF?Nantombee
Salamu iyo siyo tusiMods wanaweza kuruhusu jina la design hiyo 'lisajiliwe' humu JF?
hata hili lako nililisahau tu, ni zaidi ya maajabuMTV MBONGO,hili jina nalo ni la ajabu ajabu!
kweli aiseeeeh!Lucifer wa dar
Kule kwetu hili ni tusi kubwa sana!Nantombee
Bujibuji.Kuna mmoja aliletaga thread mwaka 2013 akiomba ushauri eti akitembea makalio yake yanatikisika haswa na vijana wanampigia miluzi, kumbe ni mwanaume bwana.
Sasa kuna siku mwaka huo huo akafanya kosa, mod akaunganisha ID yake ya kike na ya kiume ambayo ni maarufu.
Huyu aliitwa giLesi aliyejaaliwa.