Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
***Kule kwetu hili ni tusi kubwa sana!
Mkuu, mbona hiyo ni salaam katika maeneo fulani ya Tanzania. Unaanza ....Sindiso ma...anajibu ...@nantombeeMods wanaweza kuruhusu jina la design hiyo 'lisajiliwe' humu JF?
Hilo mbona la kawaida tu
ntombeeyeyeNantombee
Liko straightJingalao
Jambilo
....wa darKuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu!
1. Uporo wa wali Ndondo
2. Kunguni wa Ulaya
3. Mhuni
4. Jambazi
5. Kaka Jambazi
6. Mikataba feki
7. Mkwepa kodi
8. Fisadi kuu
9. Nyani Ngabu
10. Chikira Mtibira
11. Bigbootylover
12. Robot la matope
13. Konda wa bodaboda
14. Babu wa Kambo
15. Kipara kipya
16. Jipu kubwa
17. Ongeza wengine wa ajabuajabu/wa pekee
Mkuu, mbona hiyo ni salaam katika maeneo fulani ya Tanzania. Unaanza ....Sindiso ma...anajibu ...@nantombee
hapana unaanza naanto... anakujibu @naantombeeMkuu, mbona hiyo ni salaam katika maeneo fulani ya Tanzania. Unaanza ....Sindiso ma...anajibu ...@nantombee
Mkuu, mbona hiyo ni salaam katika maeneo fulani ya Tanzania. Unaanza ....Sindiso ma...anajibu ...@nantombee
mngetaja maeneo husika. pengine maeneo tofauti na salamu ziko tofauti japo zinafananahapana unaanza naanto... anakujibu @naantombee