Majina ya wanawake.
Ikunda = upendo
Anansia = anafuraha
Aikande = asante baba
Anaufoo = ana upole
Aika = asante
Nsia = furaha
Ana = shukuru
Ruyaeli = tafuta hii
Mesia = masihi
Eliasante = asante hii
Ndensia = baba furaha
Aluseta = ametufurahisha
Elieshi = anajua hii
Elisaria = hii ni neema
Eliayo = kwa kuwa yupo
Aimbora = hii baraka
Eliukundi = huu ni upendo
Nkiraningaya = mwokozi sikia
Apaufoo = upole uliopitiliza
Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema
Eshimendi = anajua mda
Nkakyenyi = mwamke wa nyumbani
Nkamai = wajina wa bibi
Shiwikyansia = niwekee furaha
25.Elikunda = huu upendo
[
https://1]
MAJINA YA WANAUME
Saria = neema/same he
Eshiwakwe = anajua wake
Kubwaeli = kumbuka hii
Kundasenyi = penda kwenye nuru
Wangaeli = ita
Elimuhidimi = kwakuwa anatosha
Wangandumi = muite bwana
Werandumi = msubiri bwana
Irrikyaeli = kubali hili/ hii
Isawafoo = chunga wako
Shisalalya = nisimamie
Elingao = hii ni ngao
Kusirie = amini
Onasaa = ona nuru
Aleonasaa = amepata nuru
Shekyandumi = nisaidie bwana
Shekyaeli = nisaidie hii/hiki
Eliapenda = penda hii
Elineema = neema hii
Ndemfoo = bwana ni mpole
Lookenyi = paza sauti
Keshenyi = lalashowi
Lalashowi = keshenyi
Elyiakwani = kwa kuwa wanahusiana
Ndelutarami = bwana tusaidie
Anandumi = shukuru bwana
Anaeli = shukuru hii
Shifoya = nisamehe
Ndenisari = baba ni mwenye nisamehe
Oshoraeli = omba hii
Ringaufoo = chunga upole
Wariaeli = pokea hii
Terewaeli = omba hii
Aranyandumi = msikilize bwana
Shilelandumi = bwana nilee
Endwasen = aletwe nuruni
Furahanaeli = furahia hii
Akiraeli = okoa hii
Furandumi = furahua bwana
Shisaria = nisamehe
Shimarisaeli = nimemaliza hili
Winyaeli = sumbukia hili
Alesanjo = ameoshwa
Ekyandumi = msaidie bwana
Elishifwaya = nisamehe hii.
Arakyasaa = ngoja ahadi
Akaufoo= huu ndio upole
Shisandumi = bwana nichunge
Furanaeli = furahia
50.Mbora = baraka