Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
Hizo sio Koo za Kikurya bali kuna koo 15 ambazo ni Abhasonga, Wanyabasi, Wasweta, Bakira, Bakenye, Waunyaga, Wakiroba, Wangoreme, Watimbaru, Iregi, Ikoma, Banguma, Banyamongo, Balinchoka, Banchari na Wamera.
 
Mbona hujataja Wamambwe na Warungu,Wanyiha na Wanyamwanga?
 
Sasa hivi nchi hii tumeunganisha makabila kupitia kuoana.
Sasa Mnyakyusa anapomuoa mjaluo, utasikia jina Mwaotieno; au Mnyakyusa akimuoa Mhaya, unapata jina Mwarugarabamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…