Yajue Makundi ya watu na tabia zao

Mdaiwa-Sugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
284
Reaction score
912
1. Watu wanene huwa hawapendi stress wala kubuguzana na mtu.

2. Watu wafupi mara nyingi ni watu wenye hasira, wabishi na huwa hawakubali kushindwa kirahisi

3. Watu warefu ni watu wenye kujiamini sana kulingana na maumbile yao na huwa wana dharau hasa kwa watu wafupi

4. Watu wenye vipara japo huonekana kama watu wenye hekima na busara nyingi lakini behind ni waongo, wafitini na wachonganishi.

5. Watu wanaoongea kama wanatema mara nyingi ni waongo na wambeya.

6. Watu wenye vitambi ni watu wanaojiamini sana

7. Wanawake wenye makalio makubwa wana upeo mdogo wa kufikiri. Muda mwingi wana waza makalio yao

8. Wanawake wembamba wana upendo wa dhati ila wana wivu balaa

9. Watu wenye sura ngumu ni watu wenye visasi na wengi wao ni wakatili

10. Wanaume handsome hawana akili za kimaisha. Ni wapenda urabu(bata) na hawapendi kazi ngumu.

Utafiti unaendelea....
 


Mie nimestick namba 10!..uzi na ufungwe
 
Sisi ambao ni wanene, halafu wafupi na tuna makalio makubwa hii combination sijui inakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…