hata kama ni weweDouble win sio?
Mbona umesahau 80%ya mishahara yao baada ya kustaafu hadi siku Mungu anapowapenda zaidi.Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Uliishawahi kuona Jaji hata baada ya kustaafu anagombea ubunge?Hakuna haja hata kugombea ubunge pesa ipo kwa majaji
Zaidi ya Jaji Mkuu (Mstaafu) Ramadhan kuutaka UraisUliishawahi kuona Jaji hata baada ya kustaafu anagombea ubunge?