and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Double win sio?shida ya rushwa inakuja kubwa kushinda mshahara wako😅
hata kama ni weweDouble win sio?
Hakuna haja hata kugombea ubunge pesa ipo kwa majajihata kama ni wewe
Mbona umesahau 80%ya mishahara yao baada ya kustaafu hadi siku Mungu anapowapenda zaidi.Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Uliishawahi kuona Jaji hata baada ya kustaafu anagombea ubunge?Hakuna haja hata kugombea ubunge pesa ipo kwa majaji
Zaidi ya Jaji Mkuu (Mstaafu) Ramadhan kuutaka UraisUliishawahi kuona Jaji hata baada ya kustaafu anagombea ubunge?
Jaji mkuu Augustino Ramadhani alitaka kugombea hadi urais. Ulikuwa bado hujajua kutumia mitandao ya kijamii.Uliishawahi kuona Jaji hata baada ya kustaafu anagombea ubunge?
Watu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Nimezungumzia Ubunge tu kwasababu nilikuwa najua hilo la Jaji Ramadhan! Jinga sana wewe!!Jaji mkuu Augustino Ramadhani alitaka kugombea hadi urais. Ulikuwa bado hujajua kutumia mitandao ya kijamii.
Ramadhani si aliombwa kama alivyoombwa S.A.S kisha akaishia kudhalilishwa!Nimezungumzia Ubunge tu kwasababu nilikuwa najua hilo la Jaji Ramadhan! Jinga sana wewe!!
Kwahiyo ubunge ni wa maana ama una athari kuliko urais?Nimezungumzia Ubunge tu kwasababu nilikuwa najua hilo la Jaji Ramadhan! Jinga sana wewe!!
Labda alikuwa hajazaliwa.Jaji mkuu Augustino Ramadhani alitaka kugombea hadi urais. Ulikuwa bado hujajua kutumia mitandao ya kijamii.
Natamani Jamii forum iwe na watu wenye Strong argument kama wewe Chiembe!! Hongera sana kwa jibu zuriMbona sioni hayo maslahi unayosema? Kqa hiyo ulitaka Jaji apande Kimbinyiko au Ngorika wakati ana hukumu za kunyonga watu? Pumbavu kabisa