Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Inaitwa SOCIAL SINWatu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.
Wala rushwa Tz ni wale wanaolipwa parefuUkiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Mleta mada mwanga wewe tafuta helaUkiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Juu na Rufaa nchini.
1. Kulipiwa nyumba Grade A,
2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi),
3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege,
4. Posho ya mavazi.
NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
**Naambatanisha na Sheria husika
Shida ni mifumo ovu iliyowekwa na watawala, mfano serikali inashindwa nini kuweka/kulipa wana sheria wawili kila Wilaya kwenye vituo vya polisi na mahakama wa kusaidia wananchi na ubambikaji wa kesi za polisi + dhamana? lakini ipo tayari kulipa wasanii na matapeli wengine kusifia mama kwa mabilioniWatu wanachukua rushwa kwasababu watu waliowazunguka ni masikin sana wanahtaji msaada. Familia ndugu uliosoma nao nk nk. Labda kizaz cha tatu baada ya kufanikiwa kama mo dewji lakin kama wewe ndio wa kwanza kutoka huko kwenu hiz mambo ni nadra kukwepa. Ni sawa na mbunge wanapata hela nyingi lakin akili zetu watz za kijamaa muda wote tunashida na tushaamua watu wa kuzitatua ni serikali hatuko tayar kutumia akili zetu kuzitatua. Sasa serikali ikiingia mitini ndio tunalokotwa na akina mwamposa kiulaini. Wabunge wanakimbiq kukaa majimboni kwasababu wenye shida kila siku wapo nyumbn kumletea shida.
Ndiyo hiki kinawafanya wanakuwa chawa wa serikali badala ya kusimamia serikali wakiwaza mafao manono baada ya kustaafuMbona umesahau 80%ya mishahara yao baada ya kustaafu hadi siku Mungu anapowapenda zaidi.
Vyote viwiliHivi kuna tofauti gani ya jaji na hakimu ! Ni swala la elimu au kupanda cheo ?
Wewe na wewe ni chawa tu wa Lisu wa tonetoneNdiyo hiki kinawafanya wanakuwa chawa wa serikali badala ya kusimamia serikali wakiwaza mafao manono baada ya kustaafu
Dada angu huwezi kuelewa akili yako inawaza kumtunza bwashee badala ya maendeleo ya nchi ya vizazi na vizaziWewe na wewe ni chawa tu wa Lisu wa tonetone
Nakaziashida ya rushwa inakuja kubwa kushinda mshahara wako😅
Hakuna wa kulaumiwa maana serikali ni zao la jamii yenyewe. Jamii yenyewe isipochukua hatua hakuna mabadilikoShida ni mifumo ovu iliyowekwa na watawala, mfano serikali inashindwa nini kuweka/kulipa wana sheria wawili kila Wilaya kwenye vituo vya polisi na mahakama wa kusaidia wananchi na ubambikaji wa kesi za polisi + dhamana? lakini ipo tayari kulipa wasanii na matapeli wengine kusifia mama kwa mabilioni
Majaji wanateuliwa na rais ila mahakimu wanaajiriwa kama nafasi zingine na serikali...ila mahakimu mishahara Yao ni midogo sana mpaka wanazidiwa na walimu kwa basic salary...Hivi kuna tofauti gani ya jaji na hakimu ! Ni swala la elimu au kupanda cheo ?
Ooho kumbe majaji ni wateule wa Boss asee !! Ndo maana mkate wao mnono tuMajaji wanateuliwa na rais ila mahakimu wanaajiriwa kama nafasi zingine na serikali...ila mahakimu mishahara Yao ni midogo sana mpaka wanazidiwa na walimu kwa basic salary...
NB:wao rushwa ndo inawasaidia
Kumbe ww ni jaji sikujua.Natamani Jamii forum iwe na watu wenye Strong argument kama wewe Chiembe!! Hongera sana kwa jibu zuri
utawajua wangapi?? na kazi zao hapa!! Base on your issues mkuu 🤔🤔Kumbe ww ni jaji sikujua.
Basi uchukuwe na KAZI iishehata kama ni wewe
Ila mwisho wa siku huandamwa na KarmaNB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa?
Nimeoma umehamaki sana.utawajua wangapi?? na kazi zao hapa!! Base on your issues mkuu 🤔🤔
Every human being has a price, u just have to surpass itshida ya rushwa inakuja kubwa kushinda mshahara wako😅