Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

Hela haijawahi kutoshea ndio sababu akina Bakhresa wanazidi kuitafuta Kila siku
 
Mbona Jaji Mkuu amesema wanapata stahiki kiduchu sana. Kwahiyo unamkosoa Jaji Mkuu?
 
Mleta mada mwanga wewe tafuta hela

Acha kuoneq wivu wengine

Na wewe nenda kawe jaji basi

Una roho mbaya ya kimaskini hupendi wengine wapate

Una ushahidi wa jaji yeyote kupokea rushwa? Nenda kashtaki Takukuru
Kwa hiyo hawali rushwa?
 
Na maslahi ya makarani wa mahakama ipo wapi?

Hawa ni njaa na miungu watu,na haki inapotelea kuanzia huku hasa mahakama za chini.

Muda wowote file lako linapotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…