Yajue matumizi ya "When" na "While" katika lugha ya kingereza

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA.

Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio mawili yaliyotokea kwa pamoja.

Tutaangalia tofauti zake, kwa maana ni wakati upi utumie “when”, na wakati upi utumie “while"

MATUMIZI YA “WHILE” NA “WHEN”

1. We use ‘while’ for two simultaneous actions. (Tunatumia “while” kwa matendo au matukio yanayotokea wakati mmoja)

Neno “simultaneous” ni kivumishi kinachomaanisha ‘wakati huo huo, muda huo huo, au wakati mmoja’.

Examples:
- Right now, I’m teaching while my wife is preparing lunch for me. (Sasa hivi, ninafundisha huku mke wangu akiniandalia chakula cha mchana)

UFAFANUZI: Vitendo ‘kufundisha’ na ‘kuandaa chakula’ vyote vinatokea/fanyika kwa wakati mmoja.

- Last night, I was watching TV while madam Pendo was sleeping. (Jana usiku nilikuwa natazama TV huku madamu pendo akiwa amelala)

UFAFANUZI: Kitendo cha ‘kutazama TV’ na ‘kulala’ vilitokea kwa wakati mmoja.

2. We use ‘when’ for two single actions that happen at the same time or one happens right after another one. (Tunatumia “when” kwa matukio mawili ambayo yanatokea kwa wakati mmoja au moja baada ya jingine. Matukio ambayo hayapo kwenye wakati wa kuendelea)

Examples:
  • I picked up the phone when it rang. (Nilipokea simu ilipoita)
  • I said “Yes beibe” when my wife called me. (Nilisema “ndio beibe” mke wangu aliponiita)

3. We use ‘when’ with ages. (Tunatumia “when” kutaja umri fulani, yaani kipindi ukiwa na umri fulani)

Examples:
  • I met Pendo when I was 26 years old. (Nilikutana na Pendo nikiwa na umri wa miaka 26)
  • I went to Kenya for the first time when I was 18. (Nilienda Kenya kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 18)
  • When I was 24, I was working in Arusha. (Nilipokuwa na miaka 24, nilikuwa nafanya kazi Arusha)

4. Both ‘while’ and ‘when’ can be used interchangeably in some cases especially when you have two actions but one is a single action and another is continuous. (Maneno yote “while” na “when” yanaweza kutumika kwa kubadilishana katika baadhi ya mazingira hasa hasa ikiwa kuna matukio mawili lakini tukio moja lipo kwenye hali ya kuendelea na jingine sio endelevu)

Neno “interchangeably” humaanisha ‘kwa kubadilishana’.

Examples:
- She called me while I was sleeping. (Aliniita nikiwa nimelala/ alinipigia simu nikiwa nimelala)

- She called me when I was sleeping. (Aliniita nikiwa nimelala/ alinipigia simu nikiwa nimelala)

- I got into an accident while I was driving home. (Nilipata ajali nikiwa/wakati naendesha gari kuelekea nyumbani)

- I got into an accident when I was driving home. (Nikipata ajali nikiwa/wakati naendesha gari kuelekea nyumbani)

UFAFANUZI: Katika mifano yetu tumeona maana ya sentensi inabaki ile ile ukitumia “when” au ukitumia “while”.
 
While inaweza tumika kama noun, verb, conjunction, adverb na preposition.

Nadhani mwalimu umeelizie sehemu moja tuu ya conjunction(kiunganishi?

1. I have been for a while now.

2. I whiled away the night watching movie.
 
We mwalimu mzuri San naomba unfndshe kingereza kizuri hasa kuongea Hata ikinibidi kulipia
 
Hii imekaaje mkuu?
I will thank you when the first part of the tutorial comes to an end.
 
Back
Top Bottom