Yakiyonikuta katika harakati za kutafuta mchumba humu

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto mwingiii! Nimeamua kuacha udomo zege na kuingia front mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo uyo mdada mlokole aliekwambia uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto mwingiii! Nimeamua kuacha udomo zege na kuingia front mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli zuzu Na bado Mtoto WA mama
 
Hahaa, upendo popote bana, mbona kuna shuhuda za watu kukutana humu kupendana na mpk kufunga ndoa. Naona upande wako mambo si mambo polee. Eti wamekomaa[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa majanga uliyokutana nayo, acha kuwa domo zege tafuta mtaani kwako na kwingineko Wanawake wamejaa tele.
 
Ila mkuu ulisema mengine utavumilia sasa kulikoni tenaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom