ndo uyo mdada mlokole aliekwambia uongo?Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto mwingiii! Nimeamua kuacha udomo zege na kuingia front mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli zuzu Na bado Mtoto WA mamaJamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto mwingiii! Nimeamua kuacha udomo zege na kuingia front mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa wamekomaaje aiseeJamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto mwingiii! Nimeamua kuacha udomo zege na kuingia front mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo tako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha, amekomaa halafu ana utoto mwingi
Ndio na mimi nimeshangaaSipati picha, amekomaa halafu ana utoto mwingi