Elections 2010 Yako Ni Ipi Kati Ya Hizi???

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Ni:

1."Nchi yangu,kwa umoja,amani na maendeleo yake nitaifia kwanza,iwe sahihi au imeboronga."

au

2."Chama changu na kikundi chetu nitakifia kwanza,kiwe sahihi au kina sera zilizochakachuliwa au neno moja jukwaani."

????
 
Mara nyingi huwa najiuliza: Hivi mtu kama Rostam anaweza kweli kuweka picha hizi katika ukurasa wa mbele wa magazeti yake -- kuonyesha jinsi serikali ya CCM ilipotufikisha? Hawezi kwani yeye binafsi amechangia kwa kiasi kikubwa hali hii -- kutokana na ujambazi wake kwa Watz.
 

Kha!!Unaibiwa kumbe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…