nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
binafsi huwa nahesabu kuwa mwalimu akimfundisha watoto 500 wakafaulu 200 jibu ni kwamba yule mwalimu hana uwezo wa kufundisha. hatufundishi watoto ili wafeli bali wafaulu, na kubania watu maisha haimaaini kuwa ndio unanoa tasnia. nawaonea huruma sana wadogo zangu ambao hawajaapishwa hadi leo, sisi wenzenu tulipitia bar sio hiyo shule wanayowaumiza, watu wanacarry hadi huruma. ni kitu kizuri kuliko bar lakini acheni manyanyaso nyie walimu.Niliwahi kuhoji kwa nini wanafunzi wengi wanafeli katika shule ya sheria watu walikuja juu humu jf kuwa wanafunzi hawasomi,lakini juzi imegundulika kuwa wanafunzi wanafelishwa makusudi na mwalimu mmoja katimuliwa na wengine kupewa onyo.
Tusiwe tunashabikia tuuu eti wanafunzi hawasomi kumbe kuna mizengwe.