Waungwana nimesukumwa kuuliza swali hili baada ya kuvutiwa na utaratibu wa CHADEMA wakuhakikisha maoni yawasilishwayo na chama hicho yanatoka kwa wananchi moja kwa moja tena kwa mikoa yote kitendo ambacho ata tume ya warioba haikufanya kwa uwazi kiasi hichi,kinachonishangaza nipale tarehe 21.7.2013 niliyaona maoni ya ccm kwenye gazeti la mwananchi na sikujua wameyakusanya wapi maana ata wana ccm wa mkoa wa Singida walishangaa kuona maoni hayo nawao hawakushiriki kuyatoa,hii imekaaje ndugu Nape