Maoni yalishatolewa na "viongozi"
ambao ni wawakilishi wa wananchi. Fikra za viongozi lazima zipewe heshima.
Ya ccm ni ya vikao vya ndani!Waungwana nimesukumwa kuuliza swali hili baada ya kuvutiwa na utaratibu wa CHADEMA wakuhakikisha maoni yawasilishwayo na chama hicho yanatoka kwa wananchi moja kwa moja tena kwa mikoa yote kitendo ambacho ata tume ya warioba haikufanya kwa uwazi kiasi hichi,kinachonishangaza nipale tarehe 21.7.2013 niliyaona maoni ya ccm kwenye gazeti la mwananchi na sikujua wameyakusanya wapi maana ata wana ccm wa mkoa wa Singida walishangaa kuona maoni hayo nawao hawakushiriki kuyatoa,hii imekaaje ndugu Nape
Kumbe kuna watu humu jf bado hawajui maana halisi ya neno uwakilishi? sasa kama ni mwazo yaviongozi wanawakilisha nini hapo? kusema kweli magaba kwa hili la maoni wamechemka sana. VIVA CDM