Wadau,
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa baraza la mitihan Tanzania.Kwakweli kwa miaka miwili mfululizo sasa(2013&2014)wamejitahidi kutoa matokeo ya drs sa 7 mapema na kuyaweka kwenye mitandao.
Lakini mbona sioni mpaka muda huu hizo shule walizopangiwa hawa vijana wetu?
Mwenye taarifa tafadhal naomba atujuze.