Yale Mabilion tuwekeze kwenye soka la vijana

Xharp

Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
53
Reaction score
52
Kuna umuhimu kwa soka letu kuanza kuangalia generation nyingne kwa ajir ya kombe la dunia 2026 hawa akina Boko, Nyoni, Msuva Samata ni 30+ timu yetu ina malijend weng tuanze kuwapunguza,hzo pesa zlzochangishwa ni vema kuangalia namna gan znaweza kuleta maendeleo endelevu ya soka letu
 
Let's us express our feelings through emoji's

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo tayari zishaliwa na hao waliojuu hata kabla mechi haijaanza
 
Watu wanataka wale matunda bila hata kusaidia na kushiriki kupanda Miche au mbegu...
 
Nashauri ule mzigo tupewe tukapige bia, bia tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…