Yale mambo ya mauzo ya dhahabu kwa wananchi niliyasema wiki iliyopita, wenzetu wanafanya kama hivi

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Daktari john joseph pombe mAgufuli nadhani wazo hili atalichukua
 
Kawe hawa jamaa mbona wanakuandama,umewafanya nini?

watu wana hasira mzeeeee acha kabisa,wanatafuta tu sababu

bahati yako hawakuoni,la sivyo wangekurukia wote hawa

🤣 🤣
 
Hamia huko kwa mabeberu mnaowaabudu
Kawe Alumni umeonyesha ulimwengu kwamba hukopesheki. Kwa akili hii hata wajinga wenzio hawawezi kukudhamini.
Siku nyingine ukijisikia unawashwa zima kompyuta. Kawelicious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…