Mwaka Jana nakumbuka kulitokea chemchem ya Matope maeneo ya Kunduchi Dar es Salaam. Matope haya yalikuwa kama Uji yakitokea CHINI ya Ardhi.
Tuliambiwa uchunguzi unaendelea, sikumbuki / pengine sijawahi kusikia taarifa ya Kitaalam kwamba kile ni kitu gani!
Naomba mnikumbushe!
Tuliambiwa uchunguzi unaendelea, sikumbuki / pengine sijawahi kusikia taarifa ya Kitaalam kwamba kile ni kitu gani!
Naomba mnikumbushe!