Yale matope ya moto yaliyokuwa yanatokea ardhini kule Kunduchi yaliishia wapi?

Nami nilisikiaga na kuona kwa TV, sijui iliishia wapi?
 
Ile ilikuwa stori tu kufanya spining ya mambo muhimu yaliyokuwepo kipindi kile.
 
Nchi hii kwa maigizo ya kiboya haijambo kwakweli
 
Sampo walipeleka TRC waone kama yanafaa kutengenezea mataruma ya reli ya SGR na mengine walipeleka Uyole Mbeya kuona kama yanafaa kujengea barabara ya mwendokasi.
 
Sampo walipeleka TRC waone kama yanafaa kutengenezea mataruma ya reli ya SGR na mengine walipeleka Uyole Mbeya kuona kama yanafaa kujengea barabara ya mwendokasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau waliyopeleka ikulu kutengeneza mafiga ya kupikia chakula.
 
Ngoja wataalam waje watupe majibu

Ova
 
Ilishatolewa report na hii issue haikuwa mwaka jana kama mtoa mada alivyowasilisha bali ilikuwa 2020 na katika report kama nakumbuka vizuri walieleze walivyotumia electric shork waves kupima kiwango cha maji pamoja na soil texture lakini pia walipima kiwango cha joto cha udogo wakasema joto la udogo ni dogo hvy haina uhusiano na shughuli za volcano.Zaidi walisema lile tope lilisababishwa na mgandamizo wa uwiano wa maji na udogo na kutengeza udogo uliokufa ndo hilo tope lililokuja juu.

Heri ya sikuku ya uhuru
 
Sawa Mtaalamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…