Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Ndio maana yake, soka ni mchezo wa timu sio suala la indiviadual. Man walikuwa wanapigwa na hyo Ronaldo akiwa ndani ila ni kwaida ya mashabiki kutafuta sababu ya timu kufanya vibaya. Pia tusisahau Sevilla sio timu ya mchezo!Mbona Man U ilikuwa inchezea kichapo hata Ronaldo akiwa ndani. Kichapo ni sehemu ya game
Yawezekana ni kweli mzee, unajua Ronaldo ana "style" ya uchezaji ambao hata akihamia timu yoyote, mtajikuta mkitafuta aina ya mchezo ambao utaendana na au kulazimika kumtegemea yeye. Sasa anapokuwa majeruhi ndiyo kasheshe inapoanzia hapo!
nakubaliana na wewejamani mimi ni Man U damu toka kipindi cha Cantona, manU haibebwi it is a team, angalia vifaa vingapi vimehama lakini bado tuna-shine.
The only catalyst ni kocha siku akiondoka ndio tutayumba ila hatutegemei mchezaji