Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Nikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani Dodoma sasa ni jiji na makao makuu ya nchi.Kwa ufupi usumbufu bado upo palepale.Ni mwezi sasa nafuatilia maboresho ya uwanja wa ndugu yangu ambae nilimshawishi awe na kiwanja hapa Dodoma na kujenga,ingawa yeye haishi Dodoma!Imekuwa danadana ya kufuatilia hadi nachoka,ingia namba 57,nenda na 7hiyo yote kazi hiyohiyo moja mwezi mzima!Aah jamani tujirekebishe.