Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hujajibu hoja,lakini ahsante kwa ukaribisho wa Singida ingawa maduka mengi na lodge nyingi si za wenyeji wa Singida.Tutafute hela wakuu Dodoma sio sehemu ya kuishi binadamu hata wanyama pia,karibu Singida
Mmmmh! huko kwenye mbojo????Tutafute hela wakuu Dodoma sio sehemu ya kuishi binadamu hata wanyama pia,karibu Singida
Mkuu Pole sana.lini unaenda tena jiji,natamani nikakusaidie bureee uondokane na lawamaNikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani Dodoma sasa ni jiji na makao makuu ya nchi.Kwa ufupi usumbufu bado upo palepale.Ni mwezi sasa nafuatilia maboresho ya uwanja wa ndugu yangu ambae nilimshawishi awe na kiwanja hapa Dodoma na kujenga,ingawa yeye haishi Dodoma!Imekuwa danadana ya kufuatilia hadi nachoka,ingia namba 57,nenda na 7hiyo yote kazi hiyohiyo moja mwezi mzima!Aah jamani tujirekebishe.
Jumanne mkuuMkuu Pole sana.lini unaenda tena jiji,natamani nikakusaidie bureee uondokane na lawama
Jumanne ya wiki ijayo?J
Jumanne mkuu