Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Kweli yanga wameamua kweli hawataki kuachia kabisa kwa mechi zilizobaki?
 
Kama wewe ndio shabiki wa INTANESHINO FC gonga like nikujue..

Na kama wewe ni wa MCHANGANI FC ni vyema upite tu, hata reply yako Sihitaji
........!


Mbona una hasira kiongozi,

MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFASI YAKO.
 
Watani wamechapa toto jana ko hata yangu tukishinda leo hawatapata maumivu yoyote.
 
Watani wamechapa toto jana ko hata yangu tukishinda leo hawatapata maumivu yoyote.

Jana Toto Africa walichezesha wachezaji wanaotaka kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao. Wangechezesha wale wakali mikia wangefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…